Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili afanya mazungumzo na Mkurugenzi wa mfuko wa bima ya afya Strategis Insurance.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa mfuko wa bima ya