Kamishna wa Bima Tanzania, Dk Baghayo Saqware (kulia), Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Strategis Insurance, Dk Flora Minja (katikati) na Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Strategis (kitengo cha bima za mali na ajali), Jabir Kigoda (kushoto) wakipiga makofi mara baada ya uzinduzi wa bima ya kilimo ya
Mtetezi
