Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili afanya mazungumzo na Mkurugenzi wa mfuko wa bima ya afya Strategis Insurance.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili afanya mazungumzo na Mkurugenzi wa mfuko wa bima ya afya Strategis Insurance

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa mfuko wa bima ya afya ( Strategis Insurance Tanzania Limited) Dkt . Malav Manek kwa lengo la kujadili namna bora ya kutanua wigo wa huduma kwa wateja wanahudumiwa na mfuko huo wa bima ambao wanapatiwa huduma za afya katika hospitali ya Muhimbili.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili afanya mazungumzo na Mkurugenzi wa mfuko wa bima ya afya Strategis Insurance
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili afanya mazungumzo na Mkurugenzi wa mfuko wa bima ya afya Strategis Insurance
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili afanya mazungumzo na Mkurugenzi wa mfuko wa bima ya afya Strategis Insurance

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*