Strategis Insurance yakabidhi zawadi kwa wamama na watoto katika Hospitali ya Mwananyamala Dsm ktk kusherehekea siku ya Wanawake Duniani.
Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani 2024, Strategis Insurance yakabidhi zawadi kwa wamama na watoto Katika hospitali ya Mwananyamala Dar es Salaam.