Strategis Insurance yakabidhi zawadi kwa wamama na watoto katika Hospitali ya Mwananyamala Dsm ktk kusherehekea siku ya Wanawake Duniani.

Strategis Insurance yasherehekea siku ya Wanawake Duniani kwa kukabidhi zawadi kwa wamama na watoto Katika hospitali ya Mwananyamala Dsm.

Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani 2024, Strategis Insurance yakabidhi zawadi kwa wamama na watoto Katika hospitali ya Mwananyamala Dar es Salaam.

Strategis Insurance yasherehekea siku ya Wanawake Duniani kwa kukabidhi zawadi kwa wamama na watoto Katika hospitali ya Mwananyamala Dsm.

Wa fanya kazi wa Strategis Insurance wakiwa kwenye picha ya pamoja ofisini Siku ya Wanawake Duniani March 08 2024.

Strategis Insurance yasherehekea siku ya Wanawake Duniani kwa kukabidhi zawadi kwa wamama na watoto Katika hospitali ya Mwananyamala Dsm.

Mkurugenzi Mkuu wa kampung ya Strategis Insurance Dr Flora Minja, akikata keki ya kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani Katika makao makuu ya ofisi za Strategis iliopo Maski Dar es Salaam, Pembeni yake ni Mkuu wa kitengo cha Utawala Ms Joyce Mison.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*