Strategis Insurance Tanzania Yakamdhi Msaada wa Vifaa vya Wodi ya Wazazi Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar

Viongozi wa Kampuni ya Strategis Insurance Tanzania na wa Wizara ya Afya Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa kwa Widi ya Wazazi Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar.

Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dk Jamala Adam, akipokea msaada wa vifaa kwa ajili ya Wodi ya Wazazi Hospitali ya Mnazi Mmoja kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Masoko wa Kampuni ya Strategis Insurance Tanzania Dennis Nombo,hafla hiyo imefanyika hospitali ya Mnazi mmoja

Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dk Jamala Adam, akipokea msaada wa magodoro kwa ajili ya Wodi ya Wazazi katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Masoko wa Kampuni ya Strategis Insurance Tanzania Dennis Nombo, mwenye suti,hafla hiyo imefanyika hospitali ya Mnazi mmoja
